iqna

IQNA

OIC, nchi za Kiislamu
Jinai za Israel
IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua na kuubebesha dhima utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo haramu dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478780    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/06

Kadhia ya Palestina
IQNA- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza katika taarifa yake kwamba, mji wa Quds (Jerusalem) ni sehemu isiyoweza kutenganishwa na ardhi ya Palestina na mji mkuu wa Dola ya Palestina, na eneo lote la Msikiti wa Al-Aqsa ni makhsusi kwa ajili ya ibada ya Waislamu tu.
Habari ID: 3478525    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/16

Waislamu China
JEDDAH (IQNA) – Ujumbe wa wawakilishi 25 kutoka Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) uliwasili China Alhamisi kujadili uhusiano wa pande mbili na hadhi ya jamii ya Waislamu nchini humo, OIC ilisema katika taarifa yake.
Habari ID: 3477454    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/18

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hossein Amir Abdollahian amewasilisha mapendekezo ya Iran kwa ajili ya kukabiliana na vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya.
Habari ID: 3477369    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/01

Chuki dhidi ya Uislamu
MAKKA (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) Jumatano ilitoa wito kwa nchi wanachama wake kufadhili utayarishaji wa vipindi vya radio, televisheni na vyombo vingine vya habari kwa lengo la kupambana na chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3477246    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/06

Diplomasia
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Russia ametangaza utayarifu wa nchi hiyo wa kuwa na ushirikiano mkubwa wa kibiashara na kiutamaduni na nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3477019    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/19

Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC imetoa wito wa kususiwa bidhaa za zinazozalishwa na utawala haramu wa Israel aktika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470186    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/08